Monday, March 16, 2009

KATIBA NI NINI/ INAFAIDA GANI KWA WANANCHI

Ndugu karibu tunashukuru sana!! tunajaribu kupata upeo tofauti kuhusu katiba yetu na tumeona ni vyema tuelimishane kwa swali la kwanza likiwa ni nini maana ya katiba! na katiba inahitaji iwe na vitu gani muhimu. Pia tume ambatanisha nakala ya katiba(upande wa kulia wa blog chini ya neno Links) ambayo tunaoomba uipitie na kutoa maswali au maelekezo yeyote yale ukilenga kubolesha katiba ya THC.

12 comments:

Anonymous said...

Katiba ni muongozo wa kisheria wa Nchi, Chama, kikundi, familia,au jamii fulani. Na katiba lazima ikubalike na kuheshimiwa na watu ambao inawaongoza. Hata mtu binafsi anahitajika kuwa na katiba yake kama muongozo wa maisha yake(principles).

Anonymous said...

A: KATIBA YETU NINGEPENDEKEZA IWE NA MAMBO MAALUMU YA KUSAIDIANA, IKIWEZEKANA YAOROTHESHWE,ILI MWANACHAMA ANAYE TOA MCHANGO WAKE AJUE NI WAKATI GANI CHAMA KINAWEZA KUMSAIDIA AKIPATA TATIZO, TUSIPO ANDIKA MATATIZO TUTAKAYO ANZA KUSAIDIANA TUTAGOMBANA KWENYE CHAMA HASA MTU AKILETA TATIZO LAKE ASISAIDIWE NA MWINGINE ASAIDIWE.NIKIWA NA NAAMA KWAMBA TUKIJADILI TATIZO NDIO TUTOE MSAADA,TUTAGOMBANA ILA TATOZO LIKIANDIKWA HAKUTAKUA NA SHIDA YA KUTOA MSAADA WALA KUGOMBANA. NIWAZO LANGU.
B: TUKUSHA IKAMILISHA HII KATIBA NAOMBA TUWEKE MUDA MAALU WAKUIREKEBISHA, ISIWE KILA TUKIWA NA VIKAO TUNAIJADILI KATIBA NA PENGINE KUAMUA KUIREKEBISHA, HAITATUFIKISHA MBALI.
C: BAADA YA KUKAMISHA KATIBA NAOMBA TUWE MWONGOZO WA JUMUIA AMBAO HUO TUNAWEZA KUBADILISHA KILA MARA, KUTOKANA NA MAZINGIRA TUNAYO KUA NAYO,NA SI KUBADILI KATIBA OVYO OVYO.
Kama kiswahili changu hakijaeleweka naomba tuwasiliane hata kwa simu maana ujumbe wa kuandika na kuongea huenda ukawa tofauti.Nawatakieni kazi njema ya kuirudisha jumia yetu pamoja.
Frank.

Administrator said...

Bwana Frank asante sana na tumeelewa na mawazo ni mazuri sana.Tunashukuru na tunaomba maoni zaidi. Asante sana

Anonymous said...

Kwanza nawapongeza kamati ya muda kwa kutushirikisha kwenye kujenga katiba yetu.

Naomba mjaribu kuhusisha mambo ya kitaaluma ndani ya katiba kama jukumu la jumuiya kuhamasisha watu wake

Administrator said...

Asante sana.

Anonymous said...

Ushauri wangu ni kwamba tujitahidi kutengeza katiba ambayo ni simple and clear... Kutoka na experience small organization need small cabinet with effectiveness and efficiency.

Nadhani at this moment haituhitaji katiba yenye matawi mengi ya kazi, bali tunaitaji something which is simple and clear. Just keep it simple. Nafahamu ya kuwa organization inakuwa lakini always kutakuwa na room ya improvement and that is something that we need. To build something with a room of improvement... I guess you all awere of TQM, which empasize that there is no Good enough...

I wish you all guys goodluck, but remember just keep it SIMPLE
mwanajumuia

Anonymous said...

Wanajumuiya mimi nadhani kamati inatuomba tuwakilishe mawazo yetu with the specifics. Nakubaliana na mwanajumuiya aliye sema to keep it simple (KIS). Ila nafikiri kamati inataka kujua
A) Ni kipi tunakitaka kwenye katiba yetu?
B) Kipi kimesahaulika kwenye katiba? na mengineyo.
Mi nafikiri tuangalie mission statement yetu kuna lolote linalosahaulika? JE HII STATEMENT IN INCLUSIVE ENOUGH?

MISSION STATEMENT

We, the members of the Tanzanite Houston Community, a non-profit organization residing in Houston Metropolitan area, seek an opportunity to promote: unity, education, networking among an extended family of Tanzanians in Houston, and support of each other in times of need and happiness.

MWANAJUMUIYA

Anonymous said...

Kipengele kimojawapo chini ya OBJECTIVE kinasema:

To establish assistance programs for Tanzanian members during sickness or death in their families.

Nadhani kiwe:
To establish useful programs for THC members

Mwanajumuiya

Anonymous said...

Kipengele MEMBERS and QUALIFICATION of MEMBERS:

Married to a Tanzanian and agrees to abide by these By-Laws shall become an active member upon contribution to the Association of such amounts as may be designated from time to time by the Executive committee as the annual membership dues. Active members will be called upon to participate actively in the affairs of the Association

Hayo yote yaliyosemwa sioni yakileta maana nzuri. Kwa sababu member wote lazima wawe abided by this constitution na siyo ambao merried to Tanzania only. Hivyo basi kuwe na kipengele kitakacho beba ujumbe huo kwa member wote

Nadhani kiwe:
Married to a Tanzanian

Mwanajuiya

Administrator said...

Thank you guys..... tunashukuru sana kwa mawazo ambayo ni changamoto nzuri sana.. think of anything else please don't hestitate karibu tena na tena...
Asante sana Mwanajumuiya.
kamati ya muda

Anonymous said...

Great!!! i mean!!! GREAT!! job kamati ya muda...nimependa sana!!strategy yenu ya kupokea mawazo ya wananchi. Wanajumuiya mliotoa mawazo mnaonyesha ushirikiano mzuri wa kimaendeleo..
Regards..
A Tanzanian in houston.

mlay said...

membership.
membership shall be open to tanzanians who share and suppport vision and mission of tzh.
2. members must be at least 18 years.
3. There shall be one membership fee that shall be determined by TZH's elected officers.
4. members shall pay a monthly fee which will be determined by a vote
by members.

There shall be two types of members i.e. active and inactive.
active members are those who currently on their dues and inactive members are those who for some reasons are not currently on their dues or their membership have been either suspended or terminated by applicable commitee.

 
www.free-website-hit-counters.com
Watu waliotembelea blog