Tuesday, March 17, 2009

FINANCIAL ASSISTANCE...Discuss

The association may provide moral and financial assistance to members in the event of death to a member or to a member’s relative.- Financial assistance is contingent upon the availability of funds.- The leadership may provide moral assistance in the event of death not involving a member’s relative.Family RelationsFor the purpose of financial assistance in times of death to a member’s relative, a relative shall constitute birth parents or legal guardians, legal spouse and children.The leadership will have the responsibility of determining family relations and confirmation of deaths.

8 comments:

Anonymous said...

A: KATIBA YETU NINGEPENDEKEZA IWE NA MAMBO MAALUMU YA KUSAIDIANA, IKIWEZEKANA YAOROTHESHWE,ILI MWANACHAMA ANAYE TOA MCHANGO WAKE AJUE NI WAKATI GANI CHAMA KINAWEZA KUMSAIDIA AKIPATA TATIZO, TUSIPO ANDIKA MATATIZO TUTAKAYO ANZA KUSAIDIANA TUTAGOMBANA KWENYE CHAMA HASA MTU AKILETA TATIZO LAKE ASISAIDIWE NA MWINGINE ASAIDIWE.NIKIWA NA NAAMA KWAMBA TUKIJADILI TATIZO NDIO TUTOE MSAADA,TUTAGOMBANA ILA TATOZO LIKIANDIKWA HAKUTAKUA NA SHIDA YA KUTOA MSAADA WALA KUGOMBANA. NIWAZO LANGU.

Anonymous said...

Kipengele kimojawapo chini ya OBJECTIVE kinasema:

To establish assistance programs for Tanzanian members during sickness or death in their families.

Nadhani kiwe:
To establish useful programs for THC members

Mwanajumuiya

Anonymous said...

Nadhani kwenye katiba tusiwe na vipengele vya Bank Account na Finacial Assistance badala yake tuwe na Kipengele kimoja cha Finacial Matters. Hichi kipengele kibebe vipengele vidogo kama
Bank Account
Signatories
Financial Year End for THC
Financia Records
Annual Financial Statements

Mohono, M

Anonymous said...

Kwa kuongezea kipengele kidogo cha Bank Account chini ya kipengele Kikubwa cha Financial Matters kiwe kama ifuatavyo:

The Organization shall open a bank account in the name of the Association with a registered Bank or any Building Society. The Executive Committee shall ensure that all monies received by the Association are deposited in the mentioned bank account within two (2) Business days.

Mohono, M

Anonymous said...

All cheques, promissory notes and other documents requiring signature on behalf of the THC shall be signed by two (2)Executive mambers, treasurer or Assistant to Treasurer and any of the following Committee members:
(i) President
(ii) General Secretary and
(iii)Vice President

Haya ni maoni yangu tu

Mohono, M

Anonymous said...

Swali!!! kama wanachama wawili tofauti ambao ni ndugu wakuzaliwa imetokea wamefiwa au kuuguliwa na mzazi wao, Je wanachama hawa ndugu watapa msaada wa kifedha kama wanachama wawili tofauti au utatolewa msaada kutokana na tukio kuwa moja.. Do we think katiba inabidi ifafanue... basi kama ni kwa tukio kutakuwa haina maana ya mke na mume au ndugu tumbo moja kuwa wanachanama kwa wakati mmoja na kulipa ada mbili $30*2= $60.

Anonymous said...

Bwana Chacha, nadhani ndugu wanapofiwa hilo ni tukio moja Ila nakubaliana nawe kuhusu ufafanuzi kwenye katiba kwani inaweza tokea mtafaruki hapo baadaye iwapo ndugu wawili ambao ni wanachama na labda hawaishi pamoja watakapo taka wapewe benefit as individual kwani ni wanachama hai.

Mtazamo wangu ni kwamba msiba mmoja msaada mmoja

Mohono, M

Anonymous said...

For the purpose of financial
assistance in times of death to a member’s relative, a relative shall constitute birth parents or legal guardians, legal spouse and registered children.

The leadership will have the responsibility of determining family relations and confirmation of deaths. Such confirmation will be available as a record for any member to review.

The leadership may sponsor and organize various special events and various social gatherings that the association members and leadership deem fit.

Elisha

 
www.free-website-hit-counters.com
Watu waliotembelea blog